KitaifaMchanganyikoUchumi Waziri Mkuu akagua ujenzi wa SGR kipande cha Mwanza hadi Isaka Editor March 26, 2023 Updated 2023/03/26 at 9:35 PM Share SHARE NA MWANDISHI MAALUM, SIMIYU Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) katika eneo la Nyanshimba. Wilayani Maswa . Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi 26, 2023. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu) Treni ya watalaamu wanaojenga Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Mwanza – Isaka ikiwa katika eneo la Nyanshimba wilayani Maswa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo Machi 26, 2023. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watalaamu wanajenga Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Mwanza – Isaka katika eneo la Nyashimba wilayani Maswa akiwa katika ziara ya Mkoa wa Simiyu, Machi 26, 2023. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – SGR, Masanja Kadogosa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha Mwanza- Isaka katika eneo la Nyanshimba wilayani Maswa akiwa katika ziara ya Mkoa wa Simiyu Machi 26, 2023. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu You Might Also Like WAZIRI MKUU AKAGUA MUENDELEZO WA ZOEZI LA UOKOAJI KARIAKOO DCEA YAKAMATA KILOGRAMU 1066.1,WATUHUMIWA 58 DAWA ZA KULEVYA MATUMIZI YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI KWA BARAZA LA MAWAZIRI KUBORESHA UTENDAJI KAZI KWA WANANCHI TAKUKURU MKOA WA TANGA YAPAISHA UKUSANYAJI MAPATO RAIS DK.SAMIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA ALIYEKUWA KATIBU MTENDAJI TUME YA MIPANGO Editor March 26, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Aliyetoroka shule afia nyumbani kwa mpenzi wake Next Article Magazetini Leo Jumatatu Machi 27, 2023 Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News WAZIRI MKUU AKAGUA MUENDELEZO WA ZOEZI LA UOKOAJI KARIAKOO Kitaifa DCEA YAKAMATA KILOGRAMU 1066.1,WATUHUMIWA 58 DAWA ZA KULEVYA Kitaifa Karani jela miaka 22 kwa uhujumu uchumi,wizi wa ufuta Mahakamani SMZ YAFADHILI WANAFUNZI 200 KUJIUNGA CHUO CHA FURAHIKA Elimu