Kitaifa Rais Samia Suluhu Hassan apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Nchi Sita, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Editor February 28, 2023 Updated 2023/02/28 at 5:13 PM Share SHARE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel Michael Lotem, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ukraine Andrii Pravednyk mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodom Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Slovak Katarina Leligdonova baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno Antonio Manuel Coelho Da Costa Moura, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo februari 28 , 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ureno Antonio Manuel Coelho Da Costa Moura mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Ukraine hapa nchini , Andrii Pravednyk, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma . You Might Also Like KAMATI YA BUNGE YAJIONEA NAMNA WMA INAVYOSIMAMIA SEKTA YA MAFUTA BANDARINI SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI UJENZI OFISI KUU WAKALA WA VIPIMO KUKAMILIKA JANUARI 2025 Editor February 28, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Waziri Mkuu azitaka Kamati Bunge kutambua mchango wa Azaki Next Article Waziri Dk Chana awataka wajumbe Menejimenti ya Wizara yake kufanya kazi kwa ushirikiano Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News KAMATI YA BUNGE YAJIONEA NAMNA WMA INAVYOSIMAMIA SEKTA YA MAFUTA BANDARINI Kitaifa SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi