NA MWANDISHI MAALUMU, DAR ES SALAAM
KARIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo leo Juni 9, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Balozi Chen Mingjian, Ofisini kwa Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam.