Kitaifa DK.Nchemba apokea Ripoti za Sensa Editor May 10, 2023 Updated 2023/05/10 at 2:20 PM Share SHARE NA BENNY MWAIPAJA, DODOMA .Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina Chuwa, akitoa maelezo ya awali ya Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba Ofisi za Treasury Square, Jijini Dodoma. Katikatika ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk Natu Mwamba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba akiwa na Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia baada ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk.Albina Chuwa, kukabidhi ripoti hiyo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Natu Mwamba (katikati) ambaye alimkabidhi Waziri Dk. Nchemba, Katika Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango (Treasury Square), jijini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu L Nchemba akipokea Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Natu Mwamba (katikati), baada ya kukabidhiwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali. Dkt.Albina Chuwa, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango, . Dk. Mwigulu Nchemba akionesha Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia, baada ya kupokea kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Natu Mwamba, baada ya kukabidhiwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali. Dk. Albina Chuwa, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.5. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba akisoma Ripoti za Sensa za Mgawanyo wa Idadi ya Watu kwa maeneo ya kiutawala na Idadi ya Watu kwa umri na jinsia, baada ya kuipokea kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk Natu Mwamba, baada ya kukabidhiwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina Chuwa, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma. You Might Also Like DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI UJENZI OFISI KUU WAKALA WA VIPIMO KUKAMILIKA JANUARI 2025 TAMKO LA LHRC KUKAMATWA KWA ALIYEKUWA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JACOB NAIBU KATIBU MKUU UJENZI ATEMBELEA TBA Editor May 10, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Kampeni Tuwajibike ya TRA yapiga hodi Singida Next Article TANTRADE,GIZ wajipanga kuwezesha wafanyabiashara mipakani Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa RIBA BENKI KUU KUSALIA KWENYE ASILIMIA SITA KIPINDI CHA ROBO MWAKA YA MWISHO Uchumi