Uchumi Wahitimu VETA kupitia mradi KCB 2jiajiri wakabidhiwa vyeti, vitendea kazi Editor May 4, 2023 Updated 2023/05/04 at 4:29 PM Share SHARE NA MWANDISHI WETU, MWANZA Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Hassan Massala akikabidhi vitendea kazi kwa mmoja wa wahitimu wa mradi wa KCB 2jiajiri, Halima Chacha ambaye ni fundi Mwashi wakati wa mahafali ya vijana 295 mkoani Mwanza.Kulia ni Mkuu wa Chuo cha VETA, Lupakisyo Mapamba,Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Uhusiano wa Benki hiyo Christine Manyenye, Diwani wa Kata ya Igoma, Mussa Ngollo. Mradi huo umewanufaisha vijana 960 nchini Tanzania ni ubia wa Sh .Bil 2.2 kati ya KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ). Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Hassan Massala akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kupitia mradi wa KCB 2jiajiri mkoani Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Masoko, Mawailiano na Uhusiano wa benki hiyo Christine Manyenye, Mkuu wa Chuo cha VETA, Lupakisyo Mapamba(kulia) na Diwani wa Kata ya Igoma, Mussa Ngollo. Mradi huo umewanufaisha vijana 960 nchini Tanzania ni ubia wa Sh.Bil.2 kati ya KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ). Wahitimu waliofuzu mafunzo ya Veta kupitia mradi wa KCB 2jiajiri wakiwa na vitendea kazi walivyokabidhiwa na benki hiyo mara wakati wa mahafali yaliyofanyika Mei 3, 2023 jijini Mwanza. Vijana 29 waliofuzu mafunzo ya ufundi VETA Mkoani Mwanza.Mafunzo hayo yamefadhiliwa na benki ya KCB tanzania kupitia mradi wa 2jiajiri You Might Also Like BoT YAKUNWA USHIRIKIANO BAINA YA KAMPUNI YA AIRPAY NA ZEEA MIKOPO INAYOTOLEWA KIDIJITALI NA ZEEA KUWAINUA WANANCHI KIUCHUMI BoT KUCHUKUA HATUA ZAIDI KUHAMASISHA MATUMIZI YA KADI ZA BENKI KWENYE MASHINE ZA POS,YASISITIZA KUWA HAKUNA ADA YEYOTE INAYOTOZWA Mfumo Mpya wa Kidijitali wa Malalamiko kwa watumiaji wa huduma za kifedha hautawaacha nyuma wenye vitochi-BoT TAKUKURU MKOA WA TANGA YAPAISHA UKUSANYAJI MAPATO Editor May 4, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article WAZIRI MKUU ALITAKA BARAZA LA MICHEZO LA UMOJA WA AFRIKA KUKUZA MICHEZO Next Article RC Kindamba autaka Uongozi wa Chuo Kikuu Mzumbe kuharakisha ujenzi kampasi ya Tanga Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News MOI YAANZA RASMI KUFANYA UPASUAJI WA UTI WA MGONGO KWA NJIA YA MATUNDU Afya DK.SERERA AKOSHWA NA UTENDAJI KAZI WA WAKALA WA VIPIMO Kitaifa TGC YAONESHA UMAHIRI WAKE KWA KUTENGENEZA TUZO YA RAIS KWA KUTUMIA MADINI YA ZOISITE Madini WATUMISHI BRELA WASISITIZWA UADILIFU NA NIDHAMU KATIKA KAZI Kitaifa