NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 08,2023 amehani msiba wa mtoto wa Brigedia Jenerali Mstaafu Aloyce Mwanjile, Faithnancy Mwanjile nyumbani kwake Bunju jijini Dar es salaam.
Katika Msiba huo , Waziri Mkuu Majaliwa ameongozana na mkewe Mary Majaliwa
Waziri Mkuu na mkewe wamepata wasaa wa kutoa pole na kuifariji familia, ndugu na jamaa wa Brigedia Jenerali Mwanjile