NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA Urais wa Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina atachukua fomu ya kuwania Urais Siku ya Ijumaa Agosti 15/2025 Saa 9:30 Alasiri
Atachukua fomu katika ofisi za Tume ya Uchaguzi (INEC )eneo la Ndejengwa Mkoa wa Dodoma