NA MWANDISHI WETU,LONDON,UINGEREZA
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 11, 2026, amezungumza na Watanzania wanaoishi Uingereza na nchi jirani (Diaspora).
Katika mazungumzo hayo, Dk. Mwigulu amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, pamoja na kuelezea miradi ya maendeleo na hali ya uchumi nchini Tanzania.












