NA MWANDISHI WETU,ARUSHA
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azzan Zungu (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Uingereza Sir. Lindsay Hoyle leo Alhamisi Oktoba 8, 2026 katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha( AICC) jijini Arusha.








