NA MWANDISHI WETU, KONGWA,DODOMA
WATUMISHI Wanawake kutoka Tume Huru ya Taifa ya wameshiriki katika maadhimisho ya siku Wanawake Duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika uwanja wa shule ya msingi Mbande iliyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.






