NA MWANDISHI WETU,MWANJELWA, MBEYA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Jumanne Oktoba 14, 2025 ameshiriki katika ibada ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francisko wa Asizi, Mwanjelwa mkoani hapa

Aidha ,Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango pia ameshiriki katika ibada hiyo.

Ibada hiyo imeongozwa na Akofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mbeya Mhashamu Gervas Nyaisonga.


