NA MPIGA PICHA MAALUMU,DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 28, 2024 ameshiriki mbio fupi za hisani za Run 4 Autism Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya The Green Ground Oysterbay zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto wenye tatizo la Usonji. Majaliwa Ameshiriki na kumaliza mbio za Kilomita 5.