Meneja Mauzo wa Vodacom Mkoa wa Kilimanjaro Kaanankira Nanyaro,(kulia) akimjazia mafuta dereva wa bodaboda katika kituo cha mafuta cha Totalenergies leo februari 24,2024 mkoani Kilimanjaro ambapo Vodacom ilitoa ofa ya kurejesha asilimia 10 ya gharama ya mafuta kwa mteja aliyenunua mafuta kwa kutumia huduma ya M-PesaBaadhi ya Madereva wa Bodaboda waliofika katika Kituo cha Mafuta cha Totalenergies mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Februari 24,2024 wakiwa kwenye foleni ya kusubiri kujaziwa mafuta Meneja Masoko wa Kampuni ya Mafuta ya Totalenergies Caroline Kakwezi akimuwekea mafuta mmoja wa Madereva wa Bodaboda mjini Moshi leo Februari 24,2024 ambapo Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Voda com ilitoa ofa ya kurejesha asilimia 10 ya gharama ya mafuta kwa kila dereva wa bodaboda aliyenunua mafuta katika kituo cha TotalEnergies kupitia huduma ya M-Pesa