Uchumi Vodacom,Total Energies yawapa mafuta Bodaboda kwa kuwarudishia asilimia 10 ya gharama Editor February 24, 2024 Updated 2024/02/24 at 5:27 PM Share SHARE NA MWANDISHI WETU ,KILIMANJARO Meneja Mauzo wa Vodacom Mkoa wa Kilimanjaro Kaanankira Nanyaro,(kulia) akimjazia mafuta dereva wa bodaboda katika kituo cha mafuta cha Totalenergies leo februari 24,2024 mkoani Kilimanjaro ambapo Vodacom ilitoa ofa ya kurejesha asilimia 10 ya gharama ya mafuta kwa mteja aliyenunua mafuta kwa kutumia huduma ya M-Pesa Baadhi ya Madereva wa Bodaboda waliofika katika Kituo cha Mafuta cha Totalenergies mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Februari 24,2024 wakiwa kwenye foleni ya kusubiri kujaziwa mafuta Meneja Masoko wa Kampuni ya Mafuta ya Totalenergies Caroline Kakwezi akimuwekea mafuta mmoja wa Madereva wa Bodaboda mjini Moshi leo Februari 24,2024 ambapo Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Voda com ilitoa ofa ya kurejesha asilimia 10 ya gharama ya mafuta kwa kila dereva wa bodaboda aliyenunua mafuta katika kituo cha TotalEnergies kupitia huduma ya M-Pesa You Might Also Like BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA RIBA BENKI KUU KUSALIA KWENYE ASILIMIA SITA KIPINDI CHA ROBO MWAKA YA MWISHO AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA BITEKO:WANAWAKE TUMIENI MIFUKO YA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LUKUVI ATEMBELEA BANDA LA BENKI KUU MAONESHO YA SABA YA MIFUMO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMIN Editor February 24, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article KAIRUKI :IBUENI MATAMASHA KUCHAGIZA UTALII Next Article DK.BITEKO AAGIZA UBORESHAJI HUDUMA ZA AFYA KWA WAZEE Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News KAMATI YA BUNGE YAJIONEA NAMNA WMA INAVYOSIMAMIA SEKTA YA MAFUTA BANDARINI Kitaifa SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi