Kitaifa DK NCHEMBA ATETA NA VIONGOZI WA WIZARA YA UJENZI NA TAMISEMI Editor February 15, 2024 Updated 2024/02/15 at 6:29 PM Share SHARE Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba (katikati) akiongoza kikao kilichowashirikisha Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa (kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, pamoja na Makatibu Wakuu na Viongozi waandamizi wa Wizara hizo tatu; TANROADS na TARURA, ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuboresha miundombinu ya barabara, Ofisini kwake (Treasury Square), jijini Dodoma. You Might Also Like NCC YAENDESHA ZOEZI LA MAPITIO RASIMU YA KANUNI ZA MAJENZI MAANDALIZI MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA YAFIKIA ASILIMIA 95 RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 61 MAPINDUZI YA ZANZIBAR MAANDALIZI MKUTANO WA NISHATI WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA WAKAMILIKA KWA ASILIMIA SABINI WATU MILIONI 300 BARANI AFRIKA KUFIKIWA NA NISHATI YA UMEME IFIKAPO MWAKA 2030 Editor February 15, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article NATAFUTA MARAFIKI Next Article WATENDAJI WIZARA YA MALIASILI ,UTALII WATAKIWA KUSHUGHULIKIA MADAI YA WANANCHI Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News MKUTANO MKUU MAALUMU WA CHAMA CHA MAPINDUZI LEO JANUARI 18,2025 Mchanganyiko NCC YAENDESHA ZOEZI LA MAPITIO RASIMU YA KANUNI ZA MAJENZI Kitaifa MAANDALIZI MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA YAFIKIA ASILIMIA 95 Kitaifa DOROTHY SEMU ATANGAZA KUWANIA URAIS 2025 Siasa