Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Nelson Mlali, akiwa na viongozi wengine wa shirika hilo ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya taasisi zilizopo chini ya Ofisi ya Msajili wa Hazina kukutana na Wahariri na Waandishi wa habari, kilichofanyika Oktoba 5,2023 Jijini Dar es Salaam. (kulia) ni Mkuu wa Kitengo cha Habari, Mawasiliano na Uhusiano Ofisi ya Msajili wa Hazina, Eric Mkuti.Wafanyakazi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo Oktoba 5, 2023 jijini Dar es salaamKaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania(TASAC) Nelson Mlali akieleza mafanikio na Changamoto za Shirika hilo tangu kuanzishwa kwake mwaka 2018 jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2023.Baadhi ya Wahariri wa Vyombo Mbalimbali vya Habari nchini walioshiriki katikaMkutano baina ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzanja (TASAC) jijini Dar e salaam Oktoba 5, 2023.