NA MWANDISHI MAALUM, MAFINGA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesimikwa Uchifu na kupewa jina la Galiyandela Godfrey Chongolo ( Wasifanye Wapendavyo
Katibu Mkuu amesimikwa leo Mei 27, 2023 katika uwanja wa Mashujaa ambapo zoezi hilo liliongozwa na Mzee Aloyce Mwakisonga na Mzee Simon Ngumbi.