Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu alipofika nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela mtaa wa Kilimani mkoani Dodoma, Mei 22, 2023,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea wiki iliyopita alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani mkoani Dodoma Mei 22, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea wiki iliyopita , alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani mkoani Dodoma leo Mei 22 , 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea wiki iliyopita , alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani mkoani Dodoma leo Mei 22 , 2023.