Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwanaharakati wa Masuala ya Watu wenye Ulemavu Sophia Mbeyele wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi ya Binti Lindi Initiative iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri MkuuWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitolewa na Taasisi ya Binti Lindi Initiative wakati wa hafla ya uzinduzi wa taasisi hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Kija Yunus (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Taasisi ya Binti Lindi Initiative kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan ilitolewa na Taasisi ya Binti Lindi Initiative wakati wa hafla ya uzinduzi wa taasisi hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Mei 14, 2023. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Kija Yunus (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)