Reading:Dk Mpango ziarani Burundi akimwakilisha Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 11 Wakuu wa Nchi na Serikali Nchi Wanachama Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano.
Dk Mpango ziarani Burundi akimwakilisha Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 11 Wakuu wa Nchi na Serikali Nchi Wanachama Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo Bujumbura nchini Burundi na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Burundi Prosper Banzombaza leo Mei 6, 2023. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 11 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwaajili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ukanda wa Maziwa Makuu unaofanyika Bujumbura nchini Burundi.