Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Khalifa Abdulrahman Almarzouqi alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar leo Aprili 25, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan uliowasilishwa na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Khalifa Abdulrahman Almarzouqi Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar leo Aprili 25 , 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Khalifa Abdulrahman Almarzouqi mara baada ya kukabidhi Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania . Khalifa Abdulrahman Almarzouqi alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar