Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa hospitali ya wilaya ya Maswa, Dk.James Bwire (kulia) kuhusu mashine ya X- Ray inayohamishika baada ya kuzindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura, Machi , 26, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dk. Festo Dugange. (Picha na Ofisi ya Waziri MkuuWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Machi 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Machi , 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)