Kimataifa TANZANIA YAFUNGUA RASMI OFISI ZA UBALOZI NAMIBIA Editor March 10, 2023 Updated 2023/03/10 at 4:21 PM Share SHARE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, DkStergomena Tax akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia. Dk.Tax ameishukuru Jamhuri ya Namibia kwa ushirikiano ilioutoa katika hatua za kuanzisha ubalozi huo na uwepo wao katika tukio hilo muhimu na la kihistoria kwa nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax (kushoto) pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia uliofanyika Jijini Windhoek, Namibia. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia. Ndaitwa ameeleza kuwa uwepo wa ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ni ishara kubwa na muhimu katika kuendeleza na kuimarisha uhusiano uliopo kwa maslahi ya nchi hizo na watu wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk.Stergomena Tax na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Namibia, Dk Modestus Kipilimba (kushoto) wakati wa hafla ya ufunguzi wa ofisi za Ubalozi jijini Windhoek, Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dk Stergomena Tax na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi nchini Namibia wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa ofisi za Ubalozi jijini Windhoek, Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dk Stergomena Tax na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia,Netumbo Nandi-Ndaitwah katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi nchini Namibia wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa ofisi za Ubalozi jijini Windhoek, Namibia. You Might Also Like TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI WAZIRI KOMBO AHITIMISHA ZIARA YAKE FINLAND TANZANIA,FINLAND KUENDELEZA USHIRIKIANO WENYE MANUFAA KWA PANDE ZOTE MBILI WAZIRI KOMBO ASISITIZA UMUHIMU WA NCHI MARAFIKI KUKUZA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA,UWEKEZAJI MAJALIWA ANADI SABABU 10 ZA KUWEKEZA TANZANIA Editor March 10, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article KATIBU MKUU CCM ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO BABATI, MKOANI MANYARA LEO MACHI 10, 2023 Next Article Serikali yajipanga kuendeleza michezo sita Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News MENEJIMENTI YA MOI YAWAPA ZAWADI NA SHUKURANI WATUMISHI WAKE Afya BoT KUCHUKUA HATUA ZAIDI KUHAMASISHA MATUMIZI YA KADI ZA BENKI KWENYE MASHINE ZA POS,YASISITIZA KUWA HAKUNA ADA YEYOTE INAYOTOZWA Uchumi GRIDI ZA TANZANIA,KENYA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI Kitaifa OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YAOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA MKURUGENZI WAKE WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU NA BINTI YAKE WA KWANZA WALIOPOTEZA MAISHA AJALINI,YATOA POLE KWA MAJERUHI Kitaifa