Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo akisikiliza kwa makini maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Kampasi ya Babati kutoka kwa Meneja wa Chuo hicho Kampasi ya Babati Edson Chongolo (kushoto) ambapo hadi sasa ujenzi wa jengo la Utawala, Madarasa na Mabweni unaendelea na unategemea kugharimu bilioni 8.8Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpainduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Meneja Huduma kwa Wateja Mamlaka ya Maji Babati (BAWASA) Mhandisi Rashid Chalahani (kulia) juu ya maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji wa Dareda-Singu-Sigino-Bagara.Katibu Mkuu akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Haji Issa Ussi (Gavu).