Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel Michael Lotem, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ukraine Andrii Pravednyk mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani DodomRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Slovak Katarina Leligdonova baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno Antonio Manuel Coelho Da Costa Moura, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo februari 28 , 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ureno Antonio Manuel Coelho Da Costa Moura mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Ukraine hapa nchini , Andrii Pravednyk, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ghana Damptey Bediako Asare, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma .