KISUMU, KENYA
MTU mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Kisumu, uliopo magharibi mwa Kenya wakati waandamanaji wakijitokeza kupinga gharama ya kupanda kwa maisha nchini humo.
Pia kumekuwa na makabiliano kati ya waandamanaji na polisi katika makazi yasiyo rasmi jijini Nairobi gambapo msafara wa Raila Odinga umepigwa mabomu ya machozi.
Serikali imetuma vikosi vya usalama kuzuia maandamano yaliyoitishwa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kupitia umoja wa vyama vya siasa.
SOMA ZAIDI: