

NAIBU waziri Mkuu na waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko (katikati) akimkabidhi Meneja wa benki ya NMB kanda ya kaskazini, Baraka Ladislaus (Wapili kushoto) cheti cha shukrani kwa udhamini wa kongamano la wenyeviti wa bodi na Watendaji wakuu wa Taasis alipohudhuria ufungaji wa kongamano hili katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. Wapili kulia ni Mkuu wa idara ya hazina wa Benki ya NMB, Michael Millinga, kulia ni Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu na kushoto ni Naibu Waziri ya nchi ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo