NA MWANDISHI WETU, MARA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Wilaya nchini kusimamia kikamilifu miradi yote ya maendeleo kwenye maeneo yao ili ikamilike kwa wakati na viwango.
Aidha mesema kuwa Serikali itaendelea kuhudumia watanzania katika maeneo yao.
Ameyasema hayo leo Februari 27,2024 akizungumza na wakazi wa Kitongoji cha Muhumba, Halmashauri ya Wilaya Butiama mkoani Mara.