Siasa DK.NCHIMBI ATETA NA WATUMISHI CCM MAKAO MAKUU NA JUMUIYA ZAKE Editor February 7, 2024 Updated 2024/02/07 at 7:58 AM Share SHARE NA MWANDISHI WETU,DODOMA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na watumishi wa CCM Makao Makuu pamoja na jumuiya zake, Jumuiya ya Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Dodoma, Jumanne, Februari 6, 2024. Wengine meza kuu, ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Bara, Anamringi Macha na Katibu wa NEC, Fedha na Uchumi, Dk.Frank Haule. Baadhi ya Watumishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu, pamoja na jumuiya zake, Umoja wa Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), wakimsikikiza na kufuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, wakati wa kikao na watumishi hao, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), jijini Dodoma, Jumanne, Februari 6, 2024. You Might Also Like NCHIMBI AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA KWA MKUTANO MKUBWA MULEBA CHADEMA KWA MOTO DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUMU ZANZIBAR DK NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE KAMATI YA SIASA WILAYA YA ROMBO DK NCHIMBI AKUTANA NA WAJUMBE KAMATI YA SIASA WILAYA YA ROMBO Editor February 7, 2024 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article WAFANYABIASHARA YA MAFUTA WATAKIWA KUZINGATIA MAISHA YA WANANCHI Next Article UNICEF YAAHIDI KUWEKEZA LISHE KWA WATOTO Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa