Reading:MATUKIO MBALIMBALI YA KIKAO KAZI KATI YA NSSF NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KILICHORATIBIWA NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA JIJINI DAR ES SALAAM LEO SEPTEMBA 25, 2023
MATUKIO MBALIMBALI YA KIKAO KAZI KATI YA NSSF NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KILICHORATIBIWA NA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA JIJINI DAR ES SALAAM LEO SEPTEMBA 25, 2023
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba, akifafanua mambo mbele ya wahariri wa vyombo vya habari (hawapo pichani) leo Septemba 25, 2023 jijini Dar es SalaamWakuu wa Idara mbalimbali wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF wakifuatilia Taarifa ya Mafanikio ya Shirika hilo iliyowasilishwa na Mkurugenzi Masha Mshomba Wahariri wa Vyombo mnalimbali vya Habari waliohudhuria Kikao Kazi cha Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kilichoratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina jijini Dar es salaam leo Septemba 25, 2023.Mkuu wa Kitengo cha Mwasiliano Ofisi ya Msajili wa Hazina, Eric Mkuti (kushoto), akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile kwenye uliowakutanisha Wahariri na uongozi wa NSSF leo Septemba 25, 2023 Jijini Dar es SalaamMkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba(Kushoto) akijadiliana jambo la Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Msajili wa Hazina, Eric Mkuti