NA MWANDISHI MAALUM, DODOMA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma leo Mei 22, 2023.