Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Hassan Massala akikabidhi vitendea kazi kwa mmoja wa wahitimu wa mradi wa KCB 2jiajiri, Halima Chacha ambaye ni fundi Mwashi wakati wa mahafali ya vijana 295 mkoani Mwanza.Kulia ni Mkuu wa Chuo cha VETA, Lupakisyo Mapamba,Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Uhusiano wa Benki hiyo Christine Manyenye, Diwani wa Kata ya Igoma, Mussa Ngollo. Mradi huo umewanufaisha vijana 960 nchini Tanzania ni ubia wa Sh .Bil 2.2 kati ya KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ).Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Hassan Massala akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kupitia mradi wa KCB 2jiajiri mkoani Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Masoko, Mawailiano na Uhusiano wa benki hiyo Christine Manyenye, Mkuu wa Chuo cha VETA, Lupakisyo Mapamba(kulia) na Diwani wa Kata ya Igoma, Mussa Ngollo. Mradi huo umewanufaisha vijana 960 nchini Tanzania ni ubia wa Sh.Bil.2 kati ya KCB Foundation na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ).Wahitimu waliofuzu mafunzo ya Veta kupitia mradi wa KCB 2jiajiri wakiwa na vitendea kazi walivyokabidhiwa na benki hiyo mara wakati wa mahafali yaliyofanyika Mei 3, 2023 jijini Mwanza.Vijana 29 waliofuzu mafunzo ya ufundi VETA Mkoani Mwanza.Mafunzo hayo yamefadhiliwa na benki ya KCB tanzania kupitia mradi wa 2jiajiri