Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Balozi Pindi Chana (katikati) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2023.