Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspekta Alex Duguza(Kulia)akitoa elimu kwa waendesha bodaboda wa kawe jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwakabidhi bodaboda hao viakisi mwanga’Reflectors’(100) kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (Katikati) ikiwa ni kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani.Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspekta Alex Duguza(Kulia)akitoa elimu kwa waendesha bodaboda wa kawe jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwakabidhi bodaboda hao viakisi mwanga’Reflectors’(100) kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (Katikati) ikiwa ni kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani.
Baadhi ya madereva bodaboda wa kituo cha kanisani kawe jijini dar es Salaam,wakifurahi baada ya kukabidhiwa viakisi mwanga’Reflectors’(100) pamoja na elimu ya kuzuia ajali barabarani na Msaidizi wa Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa kipolisi kawe, Inspector Alex Duguza na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Tanzania,Matina Nkurlu (mwenye miwani) katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama barabarani.