Kimataifa Rais Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Pretoria kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku moja Editor March 15, 2023 Updated 2023/03/15 at 6:17 PM Share SHARE NA MWANDISHI MAALUM, PRETORIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini Machi 15, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Maua kutoka kwa Mtoto Malaika Issara mara baada ya kuwasili Jijini Pretoria kwa ajili ya ziara ya Kiserikali nchini Afrika Kusini Machi15, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi Pretoria nchini Afrika Kusini (Diaspora) mara baada ya kuwasili nchini humo Machi 15, 2023 You Might Also Like MAJALIWA ANADI SABABU 10 ZA KUWEKEZA TANZANIA WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA ‘SUMMIT OF THE FUTURE’. RAIS DK.SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA FOCUC CHINA TANZANIA YAJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA NYUKLIA KUZALISHA UMEME TANZANIA,CUBA KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA NYETI Editor March 15, 2023 Share this Article Facebook TwitterEmail Print Previous Article Kambi ya Madaktari Bingwa yaanza upasuaji Hospitali ya Kitete Next Article JICA yarejesha Mpango wa Kujitolea Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Stay Connected Facebook Like Twitter Follow Youtube Subscribe Telegram Follow - Advertisement - Latest News SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI Kitaifa DK.HASHIL AIAGIZA MENEJIMENTI WMA KUTEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA Kitaifa BoT:AKIBA FEDHA ZA KIGENI IMEONGEZEKA Uchumi WAKALA WA VIPIMO WAZINDUA JARIDA LAO LA MTANDAONI Kitaifa