Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo (kulia)akizungumza na Naibu Waziri wa Idara ya Mambo ya Nje ya Kamati Kuu ya Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang (kushoto) februari 26, 2023 katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu, Lumumba, jijini Dar es Salaam