Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania Philip Besiimire akiwa ameambatana na watumishi wengine wa kampuni hiyo Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kukagua, na kuwatembelea na kuwasikiliza wateja na watoa huduma katika maeneo ya Kabwe Jijini Mbeya.(NA MPIGA PICHA WETU)