MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade ) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu, Dk.Latifa M. Khamis, akimpokea Mgeni rasmi Dk Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa ajili ya kufunga rasmi mkutano mkuu wa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi (CEO’s Forum), unaotamatika Leo tarehe 26 Agosti,2025 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.
HABARI PICHA;MKURUGENZI TANTRADE ALIVYOMPOKEA WAZIRI BITEKO HAFLA YA KUFUNGA KIKAO KAZI WAKUU TAASISI ZA UMMA

Leave a comment