Tetesi za soka Ulaya leo Jumatatu, Machi 27, 2023

Manchester Utd wamnyatia Goncalo Ramos MANCHESTER United wapo kwenye mawindo ya kumsajili mshambuliaji wa Benfica na Ureno Goncalo Ramos (21) ambaye ana kipengele cha kuondoka kwenye klabu yake kama anayemtaka ataweka mezani Pauni Milioni 105.6m (Tsh. Bilioni 103.3) Evan Ferguson aikacha Manchester United Mshambulizi Evan Ferguson (18) ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Jamhuri ya … Continue reading Tetesi za soka Ulaya leo Jumatatu, Machi 27, 2023