Msafara wa Raila Odinga warushiwa mabomu ya machozi

NAIROBI, KENYA MSAFARA wa kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One nchini Kenya, Raila Odinga umerushiwa mabomu ya machozi na Polisi waliokuwa wanazuia maandamano jijini Nairobi. Tukio hilo limetokea leo Jumatatu, Machi 27, 2023 katika eneo la Kawangware jijini Nairobi kwenye siku ya pili ya maandamano ya wafuasi wa umoja huo. Odinga akiambatana na … Continue reading Msafara wa Raila Odinga warushiwa mabomu ya machozi