Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo akishiriki ujenzi wa majengo ya upasuaji, maabara na katika hospitali ya wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.Katibu Mkuu ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Haji Issa Ussi (Gavu).