MBOWE: Wale wabunge 19 wanawakilisha familia zao

NA MWANDISHI WETU, KILIMANJARO MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema wabunge 19 waliofukuzwa uanachama Chadema wapo bungeni wakiwakilisha familia zao na hawawakilishi wanawake wa Chadema. Mbowe ameyasema hayo leo Jumatano, Machi 08, 2023 kwenye kongamano la Wanawake wa Chadema (Bawacha) lililofanyika mkoani hapa na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya … Continue reading MBOWE: Wale wabunge 19 wanawakilisha familia zao