Chadema wampa tuzo Rais Samia

NA MWANDISHI WETU, KILIMANJARO CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimempa Tuzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Haasan. Tuzo hiyo imetolewa na Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) leo Jumatano, Machi 08, 2023 kwenye kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lililoandaliwa na Baraza hilo ikiwa ni tuzo ya kuboresha na kuimarisha Amani … Continue reading Chadema wampa tuzo Rais Samia