Eric Omondi, wenzake 17 wafikishwa mahakamani kwa mkusanyiko haramu

NAIROBI, KENYA Mchekeshaji Eric Omondi na wenzake 17 wamepandishwa kizimbani kwenye mahakama jijini Nairobi wakidaiwa kujihusisha na mkusanyiko haramu. Inadaiwa Omondi na wenzake 17 walikamatwa jana walipokuwa kwenye maandamano barabara ya bunge wakiwa nau jumbe wa kutaka serikali ipunguze ukali wa maisha kufuatia mfumuko wa bei za bidhaa nchini humo. Watuhumiwa wote 18 wamekanusha shitaka … Continue reading Eric Omondi, wenzake 17 wafikishwa mahakamani kwa mkusanyiko haramu