Msuva aipaisha Taifa Stars ikiibwaga Niger

DAR ES SALAAM, TANZANIA Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imelaza timu ya taifa ya Niger kwa goli 1-0 kwenye mchezo wa kutafuta kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) Bai pekee la Stars liliwekwa kambani na Simon Msuva dakika ya 69 ya mcheza baada ya kuitumia vizuri krosi iliyomkuta akiwa katikati ya … Continue reading Msuva aipaisha Taifa Stars ikiibwaga Niger