Aandika barua Polisi kutaarifu anataka kuandamana

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MWANAHARAKATI Deusdedith Soka, ameliandikia Jeshi la Polisi la nchi hiyo barua ya kutaarifu kuwa anataka kuandamana kupinga Serikali ya Tanzania kuingia kwenye mkataba na Serikali ya Dubai ya kuendesha bandari za nchi hiyo iliyopo Afrika Mashariki. Demokrasia ilifanikiwa kuiona barua hiyo aliyoiandika Juni 15, 2023 kwenda kwa Mkuu wa … Continue reading Aandika barua Polisi kutaarifu anataka kuandamana