USAID yaipatia Tanzania msaada wa Sh.Trilioni 2.5

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MAREKANI kupitia Shirika la lake la Ushirikiano wa Kimataifa (USAID) na Serikali ya Tanzania Machi 29, 2023, zilisaini makubaliano ya miaka mitano ya msaada wenye thamani ya takriban Dola za Kimarekani Bilioni 1.1 (sawa na sh. Tril 2.5 za Kitanzania). Chini ya makubaliano hayo, USAID itafanya Kazi kwa karibu … Continue reading USAID yaipatia Tanzania msaada wa Sh.Trilioni 2.5