Kampuni ya Raila Odinga yaharibiwa

NAIROBI, KENYA WATU wasiojulikana wamevamia kampuni ya East Africa Specter Limited katika barabara ya Mombasa jijini Nairobi na kuharibu mali. Kampuni hiyo ya utengenezaji na kusambaza mitungi ya gesi inasemekana inamilikiwa na familia ya Raila Odinga. Humphrey Waswa ambaye ni Meneja wa ulinzi na usalama wa kampuni hiyo aliviambia vyombo vya habari kuwa watu zaidi … Continue reading Kampuni ya Raila Odinga yaharibiwa