Raila aongeza siku za maandamano Kenya

NAIROBI, KENYA ALIYEKUWA Mgombea Urais nchini Kenya kwa tiketi ya Azimio la Umoja, Raila Odinga ameongeza siku za kuandamana nchini humo. Awali Azimio la Umoja kupitia kwa Raila Odinga lilitangaza kuwa kutafanyika maandamano kila Jumatatu ya wiki kama ambavyo yalivyofanyika Jumatatu iliyopita Lakini leo Jumatano, Machi 22, 2023 Azimio la Umoja limemwandikia barua Mkuu wa … Continue reading Raila aongeza siku za maandamano Kenya