Raila amkomalia Ruto, maandamano yatikisa Nairobi

NAIROBI, KENYA MWANASIASA mkongwe nchini Kenya, Raila Odinga, ameendelea kumkomalia Rais wa nchi hiyo, William Ruto kwa kuitisha maandamano yatakayofanyika kila Jumatatu. Maandamano hayo yalianza jana Jumatatu, Machi 20, 2023 jiji Nairobi na kusababisha baadhi ya maeneo ya jiji hilo kutofanyika shughuli za uchumi ikiwemo biashara. Maduka,masoko na ofisi zilifungwa jijini humo huku waandamanaji wakiwashambulia … Continue reading Raila amkomalia Ruto, maandamano yatikisa Nairobi